Isaiah 38:11

11 aNilisema, “Sitamwona tena Bwana,
Bwana katika nchi ya walio hai,
wala sitamtazama tena mwanadamu,
wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu.
Copyright information for SwhNEN